Karibu Brand Kidigitali ( Brand Kidigitali Academy ) — Chuo Chako cha Ujuzi wa Kidijitali kwa Kiswahili! 🇹🇿

Dira yetu ni kukuwezesha kupata maarifa sahihi ili kutengeneza fursa za kiuchumi kupitia ulimwengu wa kidijitali.

Chini ya mkufunzi Herman Jerome, tunakupa mafunzo ya vitendo (Step-by-Step) kuanzia mwanzo kabisa hadi ngazi ya utaalamu:

🎨 Graphic Design & Branding: Photoshop, Illustrator na Canva kusanifu nembo na mabango ya viwango vya juu.

🎬 Video Editing & Motion Graphics: Uhariri wa video na michoro kwa ajili ya YouTube na maudhui mtandaoni.

🌐 Website Development: Utengenezaji wa tovuti na mifumo ya kisasa (HTML, CSS, PHP, WordPress).

📱 Digital Marketing & Social Media Management : Mbinu za kukuza biashara na kukuza chaneli yako.

Ikiwa unataka kujiajiri au kuongeza thamani kwenye soko la ajira, uko mahali sahihi!

📌 Bofya SUBSCRIBE sasa ili usipitwe na masomo mapya kila wiki.

🌐 Tovuti: www.brandkidigitali.co.tz
📞 WhatsApp: +255 687 680 811