Karibu Arsham Tv, ni chaneli inayokuletea vipindi vya burudani, elimu na maisha halisi.
13/05/2025


ARSHAM MEDIA TZ

KABLA HUJAMUOA HAKIKISHA UNAWAJUA MARAFIKI WA MKEO USIJE KUJUTIA MAKOSA🀣

58 minutes ago | [YT] | 4

ARSHAM MEDIA TZ

HAPA NI WAPI WAKALI WA LOCATION? πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ

9 hours ago | [YT] | 12

ARSHAM MEDIA TZ

NANI MZEMBE HAPA, JAMAA AU DEREVA?? 🀣

9 hours ago | [YT] | 9

ARSHAM MEDIA TZ

WASANII WA KENYA SIJUI WAPOJE 🀣🀣🀣 #Stevosimpleboy 🀣🀣

9 hours ago | [YT] | 54

ARSHAM MEDIA TZ

ALIYEANDIKA UKUTA WA CCM AKAMATWA

Kibatala anasema: "Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA 'KOSA' GANI?"

Hapo lazima apewe kesi ya BRAND DEFAMATION!

Swali ni: kwa nini atumie ukuta wa chama cha Ccm kuandikia misimamo ya chama pinzani?

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜’πŸ˜’

11 hours ago | [YT] | 12

ARSHAM MEDIA TZ

LEO MESSI ANAAGWA KIBINGWA SANA ARGENTINA πŸ‡¦πŸ‡· THE GOAT 🐐 #MESSI πŸ”₯πŸ”₯

1 day ago | [YT] | 175

ARSHAM MEDIA TZ

RAIA WA KENYA NA SOUTH AFRICA NDANI YA VITA VIKUBWA HUKO "TWITTER-X" πŸ€£πŸ™Œ

Raia Wakenya na South Africa wamechukua nafasi kubwa kwenye mtandao wa X, zamani Twitter, baada ya kuanza kutupiana maneno, huku memes, utani na majibu makali yakigeuza mvutano wa mitandaoni kuwa moja ya mijadala mikubwa kwenye jukwaa hilo.

Mzozo huo ulianza kupamba moto baada ya watumiaji wa South Africa kuingia kwenye mabishano ya mtandaoni yaliyokuwa tayari yakiwahusisha Wakenya.

Pande zote mbili zikaanza kurushiana vijembe kuhusu soka, ardhi, miji, tamaduni na hata majina ya nchi zao.

Baadhi ya majibu hayo yamesambaa kwa kasi na kupata maelfu ya likes, huku maneno "South Africans" yakitrend Kenya na Kenya yakitrend South Africa.

NANI MSHINDI ?? 🀣 #KENYA #SOUTHAFRICA

1 day ago (edited) | [YT] | 7

ARSHAM MEDIA TZ

NEYMAR ANAFUNGA NDANI NA NJE YA UWANJA 🀣🀣🀣 MTOTO WA 5 SOON πŸ™ŒπŸ’•πŸ™

1 day ago | [YT] | 70

ARSHAM MEDIA TZ

MWANASHERIA AMUUA MKEWE KISA WIVU WA MAPENZI

Polisi Mkoa wa Mara inamshikilia Mwanasheria Keneth Nkiko (28) ambaye jukumu lake lilikuwa kutoa msaada wa kisheria kwa waathirika wa vitendo ukatili wa kijinsia ambaye anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo amesema tukio hilo limetokea saa 4 asubuhi ya jana Jumatatu, Oktoba 5,2026 katika Mtaa wa Mwigobero, Manispaa ya Musoma.

Kamanda Lutumo amesema Nkiko anadaiwa kumuua dada huyo ambaye alikuwa ni mpenzi wake kwa kumpiga na kitu butu kichwani kisha kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia majeraha.

Alimpiga na kitu butu kichwani kisha kumchoma na kitu chenye ncha kali na kusababisha majeraha mengi mwilini yaliyosababisha avuje damu nyingi na kufariki papo hapo," amesema.

Amesema uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume wengine.

πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜³πŸ˜³

1 day ago | [YT] | 12

ARSHAM MEDIA TZ

DADA AMKAMATA MWIZI WA KIUME KATIKA SALUNI YAKE KISHA KUMBAKA KWA SIKU 3

Viktor Jasinski alivamia saluni ya Olga Zajac kwa bastola ili kuiba, lakini mmiliki huyo mwenye mkanda mweusi wa karate alimzidi nguvu, kumwangusha na kumfunga kwenye radiator akiwa utupu.

Zajac alimshikilia kwa siku tatu akimlazimisha kufanya naye mapenzi kwa nguvu na kumnywesha Viagra, kabla ya kumwachia na pesa na chakula.

Hatimaye wote wawili walikamatwa na polisi kwa tuhuma za uvamizi na unyanyasaji wa kingono.

KWELI UKISTAAJABU YA MUSSA UTASHANGAAYA FIRAUNI🀣🀣

1 day ago (edited) | [YT] | 10