1️⃣ Kuchoka mara kwa mara bila sababu Unajisikia uchovu hata kama hujafanya kazi nzito. 2️⃣ Uzito au maumivu upande wa kulia wa tumbo Maumivu madogo au uzito chini ya mbavu upande wa kulia. 3️⃣ Kuhisi tumbo kujaa gesi mara kwa mara Hata ukila chakula kidogo unajisikia umejaa sana. 4️⃣ Kupungua kwa hamu ya kula Mwili haupati hamu ya chakula kama zamani. 5️⃣ Kichefuchefu mara kwa mara Watu wengine hupata kichefuchefu hasa baada ya kula vyakula vya mafuta. 6️⃣ Kuongezeka kwa uzito hasa tumboni Mafuta ya tumboni huenda sambamba na mafuta kwenye ini. 7️⃣ Ngozi kuwa na mabadiliko ya rangi au kuwa na madoa 8️⃣ Kinywa kuwa na ladha chungu au mbaya mara kwa mara 9️⃣ Mwili kuwa mzito na kukosa nguvu 🔟 Kupata usingizi mwingi au mwili kuwa dhaifu 🌿 Muhimu kujua: Mafuta yakizidi kwenye ini yanaweza kusababisha ini kuvimba na kuanza kuharibika polepole bila mtu kujua. 👉 Kama una dalili 2 au 3 kati ya hizi, andika neno AFYA.#FatyyLiver#MafutaKwenyeIni#OndoaMafutaKwenyeIni
1. Limau 🍋 Limau husaidia kuamsha ini kufanya kazi vizuri na kuongeza uwezo wa mwili kuondoa sumu. Maji ya uvuguvugu yenye limau asubuhi ni mazuri sana. 2. Kitunguu Saumu 🧄 Saumu ina kemikali za asili zinazosaidia ini kuvunja sumu mwilini na pia huua bakteria wabaya. 3. Tangawizi Tangawizi huboresha mmeng'enyo wa chakula na kusaidia mwili kutoa sumu kupitia jasho na mkojo. 4. Beetroot (Beetroot nyekundu) Beetroot husaidia kusafisha damu na kuimarisha kazi ya ini. 5. Tikiti Maji 🍉 Tikiti maji ina maji mengi ambayo husaidia figo kutoa sumu kupitia mkojo. 6. Parachichi 🥑 Parachichi lina mafuta mazuri na antioxidants zinazosaidia kulinda ini na kuondoa sumu mwilini. 7. Mboga za Majani Mabichi (Spinachi, Matembele, Mchicha) Mboga hizi husaidia kusafisha damu na kusaidia mwili kuondoa kemikali hatari. 8. Apple (Tufaha) 🍎 Tufaha lina nyuzinyuzi (fiber) ambazo husaidia kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. 9. Karoti 🥕 Karoti ina vitamini A ambayo husaidia ini kufanya kazi vizuri katika kuondoa sumu. 10. Maji Safi 💧 Maji ni njia rahisi na muhimu zaidi ya kusaidia figo kutoa sumu mwilini. ✨ Kumbuka: Dalili kama uchovu usioelezeka, gesi tumboni, chunusi nyingi, harufu mbaya ya mwili, au ngozi kubadilika zinaweza kuashiria mwili wako umeanza kukusanya sumu nyingi. 👉 Kama unahisi mwili wako una dalili za sumu nyingi na unahitaji msaada wa tiba lishe kusaidia mwili kujisafisha, andika neno “NISAIDIE” au wasiliana na Dr Gabriel akuongoze hatua kwa hatua.#SumuMwilini#DetoxNatural#OndoaSumuMwilini
🌺🌺 Macho na ngozi kuwa ya njano Hii ni ishara kubwa kuwa ini linaanza kushindwa kufanya kazi vizuri (jaundice). 🌺🌺 Uchovu mkali usioisha Unajisikia kuchoka sana hata kama hujafanya kazi nzito. 🌺🌺 Maumivu au uzito upande wa kulia wa tumbo juu Sehemu hii ndipo ini lilipo, hivyo maumivu yanaweza kuashiria ini linaathirika. 🌺🌺Mkojo kuwa wa njano iliyokolea sana Hata kama umekunywa maji, mkojo unabaki kuwa na rangi nzito sana. 🌺🌺 Kupoteza hamu ya kula na kichefuchefu Mtu anaweza kuhisi kichefuchefu mara kwa mara na kushindwa kula vizuri. 🌺🌺 Tumbo kuvimba au miguu kuanza kujaa maji Hii ni dalili hatari zaidi inayoonesha ini limeanza kudhoofika sana. ⚠️ Ukiona dalili 2 au zaidi kati ya hizi, ni muhimu kuchunguza afya ya ini mapema. ✅ Kama unasumbuliwa na changamoto za Hepatitis B na unahitaji ushauri wa namna ya kusaidia ini lako kwa njia ya lishe, andika neno NISAIDIE#HepatitisB#HepatitisB#HepatitisB
🍀☘️Macho kuwa ya njano (jaundice) Hii hutokea ini linaposhindwa kuchakata bilirubin vizuri. ☘️☘️Ngozi kuwa ya njano Mara nyingi huambatana na macho ya njano. Uchovu usioisha 🌸🌸Unajisikia kuchoka sana hata bila kufanya kazi nzito. 🌺🌺maumivu upande wa kulia wa tumbo juu Hapa ndipo ini lilipo, maumivu yanaweza kuwa ya mara kwa mara. 🌺🌺Kupoteza hamu ya kula Mtu anaweza kukosa kabisa hamu ya kula chakula. 🌺🌺Kichefuchefu au kutapika mara kwa mara Mkojo kuwa wa njano sana au rangi ya kahawia 🍀🍀Tumbo kujaa gesi au kuvimba Kupungua uzito bila sababu Ushauri: 👉👉kiona dalili 2 au zaidi kati ya hizi, ni muhimu kufanya vipimo vya ini na hepatitis B mapema ili kujua hali halisi ya ini lako#HepatitisB#TibaLishe#AfyaYaIni
🌺Macho na ngozi kuwa ya njano Hii ni ishara ya kuongezeka kwa bilirubin mwilini na mara nyingi huonesha ini halifanyi kazi vizuri. 🌺Uchovu mkali bila sababu Unajisikia kuchoka muda wote hata kama hujafanya kazi nzito. 🌺Mkojo kuwa wa njano kali au wa kahawia Inaweza kuonesha ini lina shida katika kuchakata sumu. 🌺Maumivu au uzito upande wa kulia wa tumbo juu Hapa ndipo ini lilipo, hivyo maumivu eneo hilo yanaweza kuwa ishara ya tatizo. 🌺Kupoteza hamu ya kula Ini likianza kuchoka, mfumo wa mmeng'enyo unaweza kuvurugika. 🌺Kichefuchefu au kutapika mara kwa mara 🌺Tumbo kujaa gesi na kuvimba mara kwa mara 🌺Ngozi kuwasha sana bila sababu Ini likianza kuchoka mara nyingi ni kutokana na mambo kama: 🌱Pombe kupita kiasi 🌱Mafuta mengi kwenye ini (Fatty Liver) 🌱Sumu nyingi mwilini 🌱Lishe isiyo sahihi
➡️➡️Habari njema ni kwamba ini lina uwezo mkubwa wa kujirekebisha likipewa msaada sahihi wa lishe na mtindo mzuri wa maisha.
🌺🌺Jina langu naitwa Asha, mama wa miaka 41 niliyeishi Dar es Salaam. Kwa muda mrefu nilikuwa najisikia mwili wangu umebadilika lakini sikujua nini kinaendelea.
🌱🌱Kila siku nilikuwa na uchovu usioeleweka, hata kama sikufanya kazi nzito. Mara nyingi pia nilihisi maumivu ya upande wa kulia wa tumbo, na wakati mwingine kinywa changu kilikuwa kichungu sana hasa asubuhi.
🌺🌺kwa kweli nilidhani ni mambo ya kawaida. Nilisema labda ni kazi nyingi au kukosa usingizi. Nilipuuza kabisa dalili hizo.
🌿Kadri siku zilivyokwenda hali ilianza kubadilika. Ngozi yangu ilianza kupoteza mng’ao, tumbo lilikuwa linajaa gesi mara kwa mara na mwili ulikuwa mzito sana.
➡️➡️Siku moja nilipoenda kupima, ndipo niliposhtuka kusikia daktari akiniambia: "Inaonekana ini lako limeanza kuchoka kutokana na mkusanyiko wa sumu na mafuta." Nilihofia sana. Sikuwahi kufikiria kama ini linaweza kuanza kuchoka bila hata maumivu makali.
🌺🌺Baada ya kutafuta msaada ndipo nilipokutana na Dr Gabriel, ambaye alinielekeza kutumia tiba lishe na kubadilisha mfumo wa chakula. Kwa kweli nilifuata maelekezo yake kwa umakini. Baada ya muda mfupi nilianza kuona mabadiliko makubwa: 🌺Uchovu ulipungua 🌺Tumbo lilianza kuwa jepesi 🌺Mwili wangu ukarudi kuwa mwepesi na wenye nguvu
🌺Leo ninajisikia tofauti kabisa na zamani. Kama na wewe unaona dalili kama hizi: 🌱Uchovu wa mara kwa mara 🌱Maumivu upande wa kulia wa tumbo 🌱Kinywa kichungu au tumbo kujaa gesi Usizidharau.
🌺🌺Neema, mwanamke mwenye umri wa miaka 38 anayeishi Dar es Salaam, alikuwa anapitia kipindi kigumu sana cha afya yake. Kwa muda mrefu tumbo lake lilikuwa linavimba sana, na mara nyingi alikuwa anapata maumivu makali upande wa kulia wa tumbo.
🌺🌺Kila siku alipokuwa kazini au nyumbani alikuwa anajisikia vibaya. Wakati mwingine hata kukaa au kula chakula ilikuwa shida, kwa sababu maumivu yalikuwa yanarudi mara kwa mara. Neema alijaribu kupuuza hali hiyo akidhani labda ni tatizo la kawaida la tumbo, lakini kadri siku zilivyokwenda hali ilizidi kumtesa.
🌺🌺Siku moja rafiki yake alimshauri atafute ushauri wa kitaalamu. Hapo ndipo Neema alipowasiliana na Dr Gabriel. Baada ya maelezo na ushauri, alipewa tiba lishe ambayo ililenga kusaidia mwili wake kurejea katika hali nzuri.
🌺🌺Neema alianza kufuata maelekezo kwa umakini. Baada ya muda alianza kuona mabadiliko. Tumbo lilianza kupungua kuvimba, maumivu upande wa kulia yakapungua, na mwili wake ukaanza kujisikia mwepesi zaidi. Leo hii Neema anasema kwa furaha
🌺🌺Sikuwahi kufikiria kama ningejisikia vizuri tena. Lakini baada ya kufuata tiba lishe niliyopewa na Dr Gabriel, sasa najisikia mwepesi na afya yangu iko vizuri sana."
🌿🌿➡️Kama na wewe unapitia hali ya tumbo kuvimba sana, maumivu upande wa kulia au kujisikia vibaya mara kwa mara, usikae kimya. Andika neno “NISAIDIE” na Dr Gabriel atakusaidia.#FattyLiver#MafutaKwenyeIni#IniLenyeMafuta
Jina langu naitwa Glory, mama wa mtoto mmoja ninaishi Dar es Salaam. Miaka minne iliyopita nilipata habari iliyobadilisha maisha yangu kabisa. Ilikuwa siku ya Jumatatu asubuhi hospitalini, baada ya vipimo daktari aliniambia nina Hepatitis B. Sikuwahi kusahau ile siku. Nilikaa kimya nikijiuliza maswali mengi: Je nitapona? Je maisha yangu yatakuwaje? Kadri siku zilivyopita nilianza kuona mwili wangu unabadilika. Nilikuwa nachoka haraka, wakati mwingine nilipata kichefuchefu, na mawazo mengi yalinizidi. Niliishi kwa hofu na msongo wa mawazo kwa karibu miaka minne. Nilijaribu njia mbalimbali kutafuta msaada lakini sikuona mabadiliko makubwa. Ilifika wakati hata nilianza kukata tamaa. Siku moja rafiki yangu wa karibu alinieleza kuhusu Dr Gabriel anayesaidia watu wengi kwa kutumia tiba lishe kusaidia mwili kuimarika. Mwanzoni nilikuwa na mashaka, lakini niliona ni bora nijaribu kuliko kuendelea kuteseka. Baada ya kupata ushauri na kuanza kufuata mwongozo wa tiba lishe kutoka kwa Dr Gabriel, nilianza kuona mwili wangu unabadilika taratibu. Nguvu zilianza kurudi, uchovu ukapungua na afya yangu ikaanza kuwa bora. Baada ya muda nilirudi kufanya vipimo tena… Majibu yalikuwa tofauti kabisa. Leo hii naweza kusema kwa furaha kubwa kwamba niko sawa, na afya yangu imeimarika sana. Nawashukuru sana Dr Gabriel kwa msaada na mwongozo aliounipa. Kama na wewe unateseka na changamoto ya Hepatitis B, usikate tamaa. Andika neno: “HEPATITIS B” ili upate maelekezo zaidi kutoka kwa Dr Gabriel.#HepatitisB#AfyaYaIni#HepatitisB
MPAKA NILIPOONA HIZI DALILI Kwa muda mrefu nilikuwa najisikia tofauti na kawaida. Mwili ulikuwa mzito sana, nilikuwa nachoka haraka hata bila kufanya kazi ngumu. Mwanzoni nilidhani ni uchovu wa kawaida wa maisha, lakini kadri siku zilivyopita dalili zilianza kuongezeka. Nilianza kuona ngozi yangu ikibadilika, mara nyingine chunusi zinatokea bila sababu. Pia nilikuwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara, na wakati mwingine usingizi haukuwa mzuri. Niliamka asubuhi bado najisikia kuchoka. Baadaye nilianza pia kupata kiungulia na tumbo kujaa gesi, wakati mwingine harufu mbaya ya mwili au mdomo hata kama nimejitahidi kuwa msafi. Hapo ndipo nilianza kugundua kuna kitu mwilini hakipo sawa. Ndipo nilipoamua kutafuta msaada, nikakutana na Dr Gabriel. Alinieleza kuwa mwili wangu unaweza kuwa umejikusanyia sumu nyingi kutokana na vyakula, msongo wa mawazo na mtindo wa maisha. Dr Gabriel alinipa tiba lishe na kunielekeza namna ya kusaidia mwili kujisafisha kwa njia salama, ndipo nilianza kuona mabadiliko makubwa taratibu. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonyesha mwili una sumu nyingi ni kama: Uchovu wa mara kwa mara bila sababu Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara Chunusi au ngozi kubadilika ghafla Harufu mbaya ya mwili au mdomo Kiungulia au tumbo kujaa gesi Usingizi usio mzuri Kujisikia mzito au kukosa nguvu Baada ya kufuata ushauri wa tiba lishe, mwili wangu ulianza kubadilika na nikajisikia nafuu zaidi. Kama na wewe una dalili kama hizi 2 au 3, andika neno “NISAIDIE” na Dr Gabriel atakusaidia.#DetoxNatural#SumuMwilini#OndoaSumuMwilini
Kitunguu swaumu (Garlic) Husaidia kuamsha enzymes za ini zinazosaidia kuondoa sumu mwilini na pia kupunguza mafuta yaliyokusanyika kwenye ini. Ndimu Ina vitamini C nyingi ambayo husaidia ini kufanya kazi vizuri ya kusafisha sumu mwilini. Maji ya uvuguvugu na ndimu asubuhi yanafaa sana. Parachichi Lina mafuta mazuri (healthy fats) yanayosaidia kupunguza mafuta mabaya kwenye ini na kulinda seli za ini. Beetroot (Beet) Husaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye ini na kusaidia kuondoa sumu mwilini. Broccoli Mboga hii husaidia kuongeza uwezo wa ini kuondoa sumu na kupunguza mafuta kwenye ini. Karoti Ina beta-carotene na antioxidants zinazosaidia kulinda ini na kusaidia kupunguza mafuta kwenye ini. Apple (Tufaha) Ina nyuzinyuzi (fiber) zinazosaidia kusafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kupunguza mzigo kwa ini. Oats (shayiri) Ina nyuzinyuzi nyingi zinazosaidia kupunguza mafuta mwilini na kusaidia ini kufanya kazi vizuri. Samaki wenye mafuta mazuri Kama salmon, dagaa, na sardine, husaidia kupunguza mafuta kwenye ini na kupunguza uvimbe wa ini. Chai ya kijani (Green tea) Ina antioxidants nyingi zinazosaidia kupunguza mafuta kwenye ini na kusaidia ini kujisafisha. ✅ Mambo muhimu ya kufanya pia: Punguza pombe au acha kabisa Epuka vyakula vya mafuta mengi na sukari nyingi Kunywa maji ya kutosha Fanya mazoezi mara kwa mara#FattyLiver#MafutaKwenyeIni#IniLenyeMafuta
Dr.gabriel Tz
1️⃣ Kuchoka mara kwa mara bila sababu
Unajisikia uchovu hata kama hujafanya kazi nzito.
2️⃣ Uzito au maumivu upande wa kulia wa tumbo
Maumivu madogo au uzito chini ya mbavu upande wa kulia.
3️⃣ Kuhisi tumbo kujaa gesi mara kwa mara
Hata ukila chakula kidogo unajisikia umejaa sana.
4️⃣ Kupungua kwa hamu ya kula
Mwili haupati hamu ya chakula kama zamani.
5️⃣ Kichefuchefu mara kwa mara
Watu wengine hupata kichefuchefu hasa baada ya kula vyakula vya mafuta.
6️⃣ Kuongezeka kwa uzito hasa tumboni
Mafuta ya tumboni huenda sambamba na mafuta kwenye ini.
7️⃣ Ngozi kuwa na mabadiliko ya rangi au kuwa na madoa
8️⃣ Kinywa kuwa na ladha chungu au mbaya mara kwa mara
9️⃣ Mwili kuwa mzito na kukosa nguvu
🔟 Kupata usingizi mwingi au mwili kuwa dhaifu
🌿 Muhimu kujua:
Mafuta yakizidi kwenye ini yanaweza kusababisha ini kuvimba na kuanza kuharibika polepole bila mtu kujua.
👉 Kama una dalili 2 au 3 kati ya hizi, andika neno AFYA.#FatyyLiver#MafutaKwenyeIni#OndoaMafutaKwenyeIni
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
1. Limau 🍋
Limau husaidia kuamsha ini kufanya kazi vizuri na kuongeza uwezo wa mwili kuondoa sumu. Maji ya uvuguvugu yenye limau asubuhi ni mazuri sana.
2. Kitunguu Saumu 🧄
Saumu ina kemikali za asili zinazosaidia ini kuvunja sumu mwilini na pia huua bakteria wabaya.
3. Tangawizi
Tangawizi huboresha mmeng'enyo wa chakula na kusaidia mwili kutoa sumu kupitia jasho na mkojo.
4. Beetroot (Beetroot nyekundu)
Beetroot husaidia kusafisha damu na kuimarisha kazi ya ini.
5. Tikiti Maji 🍉
Tikiti maji ina maji mengi ambayo husaidia figo kutoa sumu kupitia mkojo.
6. Parachichi 🥑
Parachichi lina mafuta mazuri na antioxidants zinazosaidia kulinda ini na kuondoa sumu mwilini.
7. Mboga za Majani Mabichi (Spinachi, Matembele, Mchicha)
Mboga hizi husaidia kusafisha damu na kusaidia mwili kuondoa kemikali hatari.
8. Apple (Tufaha) 🍎
Tufaha lina nyuzinyuzi (fiber) ambazo husaidia kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
9. Karoti 🥕
Karoti ina vitamini A ambayo husaidia ini kufanya kazi vizuri katika kuondoa sumu.
10. Maji Safi 💧
Maji ni njia rahisi na muhimu zaidi ya kusaidia figo kutoa sumu mwilini.
✨ Kumbuka:
Dalili kama uchovu usioelezeka, gesi tumboni, chunusi nyingi, harufu mbaya ya mwili, au ngozi kubadilika zinaweza kuashiria mwili wako umeanza kukusanya sumu nyingi.
👉 Kama unahisi mwili wako una dalili za sumu nyingi na unahitaji msaada wa tiba lishe kusaidia mwili kujisafisha, andika neno “NISAIDIE” au wasiliana na Dr Gabriel akuongoze hatua kwa hatua.#SumuMwilini#DetoxNatural#OndoaSumuMwilini
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
🌺🌺 Macho na ngozi kuwa ya njano
Hii ni ishara kubwa kuwa ini linaanza kushindwa kufanya kazi vizuri (jaundice).
🌺🌺 Uchovu mkali usioisha
Unajisikia kuchoka sana hata kama hujafanya kazi nzito.
🌺🌺 Maumivu au uzito upande wa kulia wa tumbo juu
Sehemu hii ndipo ini lilipo, hivyo maumivu yanaweza kuashiria ini linaathirika.
🌺🌺Mkojo kuwa wa njano iliyokolea sana
Hata kama umekunywa maji, mkojo unabaki kuwa na rangi nzito sana.
🌺🌺 Kupoteza hamu ya kula na kichefuchefu
Mtu anaweza kuhisi kichefuchefu mara kwa mara na kushindwa kula vizuri.
🌺🌺 Tumbo kuvimba au miguu kuanza kujaa maji
Hii ni dalili hatari zaidi inayoonesha ini limeanza kudhoofika sana.
⚠️ Ukiona dalili 2 au zaidi kati ya hizi, ni muhimu kuchunguza afya ya ini mapema.
✅ Kama unasumbuliwa na changamoto za Hepatitis B na unahitaji ushauri wa namna ya kusaidia ini lako kwa njia ya lishe, andika neno NISAIDIE#HepatitisB#HepatitisB#HepatitisB
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
🍀☘️Macho kuwa ya njano (jaundice)
Hii hutokea ini linaposhindwa kuchakata bilirubin vizuri.
☘️☘️Ngozi kuwa ya njano
Mara nyingi huambatana na macho ya njano.
Uchovu usioisha
🌸🌸Unajisikia kuchoka sana hata bila kufanya kazi nzito.
🌺🌺maumivu upande wa kulia wa tumbo juu
Hapa ndipo ini lilipo, maumivu yanaweza kuwa ya mara kwa mara.
🌺🌺Kupoteza hamu ya kula
Mtu anaweza kukosa kabisa hamu ya kula chakula.
🌺🌺Kichefuchefu au kutapika mara kwa mara
Mkojo kuwa wa njano sana au rangi ya kahawia
🍀🍀Tumbo kujaa gesi au kuvimba
Kupungua uzito bila sababu
Ushauri:
👉👉kiona dalili 2 au zaidi kati ya hizi, ni muhimu kufanya vipimo vya ini na hepatitis B mapema ili kujua hali halisi ya ini lako#HepatitisB#TibaLishe#AfyaYaIni
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
🌺Macho na ngozi kuwa ya njano
Hii ni ishara ya kuongezeka kwa bilirubin mwilini na mara nyingi huonesha ini halifanyi kazi vizuri.
🌺Uchovu mkali bila sababu
Unajisikia kuchoka muda wote hata kama hujafanya kazi nzito.
🌺Mkojo kuwa wa njano kali au wa kahawia
Inaweza kuonesha ini lina shida katika kuchakata sumu.
🌺Maumivu au uzito upande wa kulia wa tumbo juu
Hapa ndipo ini lilipo, hivyo maumivu eneo hilo yanaweza kuwa ishara ya tatizo.
🌺Kupoteza hamu ya kula
Ini likianza kuchoka, mfumo wa mmeng'enyo unaweza kuvurugika.
🌺Kichefuchefu au kutapika mara kwa mara
🌺Tumbo kujaa gesi na kuvimba mara kwa mara
🌺Ngozi kuwasha sana bila sababu
Ini likianza kuchoka mara nyingi ni kutokana na mambo kama:
🌱Pombe kupita kiasi
🌱Mafuta mengi kwenye ini (Fatty Liver)
🌱Sumu nyingi mwilini
🌱Lishe isiyo sahihi
➡️➡️Habari njema ni kwamba ini lina uwezo mkubwa wa kujirekebisha likipewa msaada sahihi wa lishe na mtindo mzuri wa maisha.
🌷🌷Kama una dalili 2 au 3 kati ya hizi, usipuuze.
Kama na wewe una changamoto hiyo, andika neno NISAIDIE ili upate ushauri. #FattyLiver#MafutaKwenyeIni#AfyaYaIni#IniBora#TibaLishe#HealthTips
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
🌺🌺Jina langu naitwa Asha, mama wa miaka 41 niliyeishi Dar es Salaam. Kwa muda mrefu nilikuwa najisikia mwili wangu umebadilika lakini sikujua nini kinaendelea.
🌱🌱Kila siku nilikuwa na uchovu usioeleweka, hata kama sikufanya kazi nzito. Mara nyingi pia nilihisi maumivu ya upande wa kulia wa tumbo, na wakati mwingine kinywa changu kilikuwa kichungu sana hasa asubuhi.
🌺🌺kwa kweli nilidhani ni mambo ya kawaida. Nilisema labda ni kazi nyingi au kukosa usingizi. Nilipuuza kabisa dalili hizo.
🌿Kadri siku zilivyokwenda hali ilianza kubadilika. Ngozi yangu ilianza kupoteza mng’ao, tumbo lilikuwa linajaa gesi mara kwa mara na mwili ulikuwa mzito sana.
➡️➡️Siku moja nilipoenda kupima, ndipo niliposhtuka kusikia daktari akiniambia:
"Inaonekana ini lako limeanza kuchoka kutokana na mkusanyiko wa sumu na mafuta."
Nilihofia sana. Sikuwahi kufikiria kama ini linaweza kuanza kuchoka bila hata maumivu makali.
🌺🌺Baada ya kutafuta msaada ndipo nilipokutana na Dr Gabriel, ambaye alinielekeza kutumia tiba lishe na kubadilisha mfumo wa chakula. Kwa kweli nilifuata maelekezo yake kwa umakini.
Baada ya muda mfupi nilianza kuona mabadiliko makubwa:
🌺Uchovu ulipungua
🌺Tumbo lilianza kuwa jepesi
🌺Mwili wangu ukarudi kuwa mwepesi na wenye nguvu
🌺Leo ninajisikia tofauti kabisa na zamani.
Kama na wewe unaona dalili kama hizi:
🌱Uchovu wa mara kwa mara
🌱Maumivu upande wa kulia wa tumbo
🌱Kinywa kichungu au tumbo kujaa gesi
Usizidharau.
Andika neno “NISAIDIE” kisha Dr Gabriel atakuelekeza namna ya kusaidia ini lako kwa njia salama ya tiba lishe.#FattyLiver#MafutaKwenyeIni#TibaLishe
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
🌺🌺Neema, mwanamke mwenye umri wa miaka 38 anayeishi Dar es Salaam, alikuwa anapitia kipindi kigumu sana cha afya yake. Kwa muda mrefu tumbo lake lilikuwa linavimba sana, na mara nyingi alikuwa anapata maumivu makali upande wa kulia wa tumbo.
🌺🌺Kila siku alipokuwa kazini au nyumbani alikuwa anajisikia vibaya. Wakati mwingine hata kukaa au kula chakula ilikuwa shida, kwa sababu maumivu yalikuwa yanarudi mara kwa mara. Neema alijaribu kupuuza hali hiyo akidhani labda ni tatizo la kawaida la tumbo, lakini kadri siku zilivyokwenda hali ilizidi kumtesa.
🌺🌺Siku moja rafiki yake alimshauri atafute ushauri wa kitaalamu. Hapo ndipo Neema alipowasiliana na Dr Gabriel. Baada ya maelezo na ushauri, alipewa tiba lishe ambayo ililenga kusaidia mwili wake kurejea katika hali nzuri.
🌺🌺Neema alianza kufuata maelekezo kwa umakini. Baada ya muda alianza kuona mabadiliko. Tumbo lilianza kupungua kuvimba, maumivu upande wa kulia yakapungua, na mwili wake ukaanza kujisikia mwepesi zaidi.
Leo hii Neema anasema kwa furaha
🌺🌺Sikuwahi kufikiria kama ningejisikia vizuri tena. Lakini baada ya kufuata tiba lishe niliyopewa na Dr Gabriel, sasa najisikia mwepesi na afya yangu iko vizuri sana."
🌿🌿➡️Kama na wewe unapitia hali ya tumbo kuvimba sana, maumivu upande wa kulia au kujisikia vibaya mara kwa mara, usikae kimya.
Andika neno “NISAIDIE” na Dr Gabriel atakusaidia.#FattyLiver#MafutaKwenyeIni#IniLenyeMafuta
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
Jina langu naitwa Glory, mama wa mtoto mmoja ninaishi Dar es Salaam. Miaka minne iliyopita nilipata habari iliyobadilisha maisha yangu kabisa. Ilikuwa siku ya Jumatatu asubuhi hospitalini, baada ya vipimo daktari aliniambia nina Hepatitis B.
Sikuwahi kusahau ile siku. Nilikaa kimya nikijiuliza maswali mengi:
Je nitapona? Je maisha yangu yatakuwaje?
Kadri siku zilivyopita nilianza kuona mwili wangu unabadilika. Nilikuwa nachoka haraka, wakati mwingine nilipata kichefuchefu, na mawazo mengi yalinizidi. Niliishi kwa hofu na msongo wa mawazo kwa karibu miaka minne.
Nilijaribu njia mbalimbali kutafuta msaada lakini sikuona mabadiliko makubwa. Ilifika wakati hata nilianza kukata tamaa.
Siku moja rafiki yangu wa karibu alinieleza kuhusu Dr Gabriel anayesaidia watu wengi kwa kutumia tiba lishe kusaidia mwili kuimarika. Mwanzoni nilikuwa na mashaka, lakini niliona ni bora nijaribu kuliko kuendelea kuteseka.
Baada ya kupata ushauri na kuanza kufuata mwongozo wa tiba lishe kutoka kwa Dr Gabriel, nilianza kuona mwili wangu unabadilika taratibu. Nguvu zilianza kurudi, uchovu ukapungua na afya yangu ikaanza kuwa bora.
Baada ya muda nilirudi kufanya vipimo tena…
Majibu yalikuwa tofauti kabisa.
Leo hii naweza kusema kwa furaha kubwa kwamba niko sawa, na afya yangu imeimarika sana. Nawashukuru sana Dr Gabriel kwa msaada na mwongozo aliounipa.
Kama na wewe unateseka na changamoto ya Hepatitis B, usikate tamaa.
Andika neno: “HEPATITIS B” ili upate maelekezo zaidi kutoka kwa Dr Gabriel.#HepatitisB#AfyaYaIni#HepatitisB
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
MPAKA NILIPOONA HIZI DALILI
Kwa muda mrefu nilikuwa najisikia tofauti na kawaida. Mwili ulikuwa mzito sana, nilikuwa nachoka haraka hata bila kufanya kazi ngumu. Mwanzoni nilidhani ni uchovu wa kawaida wa maisha, lakini kadri siku zilivyopita dalili zilianza kuongezeka.
Nilianza kuona ngozi yangu ikibadilika, mara nyingine chunusi zinatokea bila sababu. Pia nilikuwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara, na wakati mwingine usingizi haukuwa mzuri. Niliamka asubuhi bado najisikia kuchoka.
Baadaye nilianza pia kupata kiungulia na tumbo kujaa gesi, wakati mwingine harufu mbaya ya mwili au mdomo hata kama nimejitahidi kuwa msafi. Hapo ndipo nilianza kugundua kuna kitu mwilini hakipo sawa.
Ndipo nilipoamua kutafuta msaada, nikakutana na Dr Gabriel. Alinieleza kuwa mwili wangu unaweza kuwa umejikusanyia sumu nyingi kutokana na vyakula, msongo wa mawazo na mtindo wa maisha. Dr Gabriel alinipa tiba lishe na kunielekeza namna ya kusaidia mwili kujisafisha kwa njia salama, ndipo nilianza kuona mabadiliko makubwa taratibu.
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonyesha mwili una sumu nyingi ni kama:
Uchovu wa mara kwa mara bila sababu
Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
Chunusi au ngozi kubadilika ghafla
Harufu mbaya ya mwili au mdomo
Kiungulia au tumbo kujaa gesi
Usingizi usio mzuri
Kujisikia mzito au kukosa nguvu
Baada ya kufuata ushauri wa tiba lishe, mwili wangu ulianza kubadilika na nikajisikia nafuu zaidi.
Kama na wewe una dalili kama hizi 2 au 3, andika neno “NISAIDIE” na Dr Gabriel atakusaidia.#DetoxNatural#SumuMwilini#OndoaSumuMwilini
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Dr.gabriel Tz
Kitunguu swaumu (Garlic)
Husaidia kuamsha enzymes za ini zinazosaidia kuondoa sumu mwilini na pia kupunguza mafuta yaliyokusanyika kwenye ini.
Ndimu
Ina vitamini C nyingi ambayo husaidia ini kufanya kazi vizuri ya kusafisha sumu mwilini. Maji ya uvuguvugu na ndimu asubuhi yanafaa sana.
Parachichi
Lina mafuta mazuri (healthy fats) yanayosaidia kupunguza mafuta mabaya kwenye ini na kulinda seli za ini.
Beetroot (Beet)
Husaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye ini na kusaidia kuondoa sumu mwilini.
Broccoli
Mboga hii husaidia kuongeza uwezo wa ini kuondoa sumu na kupunguza mafuta kwenye ini.
Karoti
Ina beta-carotene na antioxidants zinazosaidia kulinda ini na kusaidia kupunguza mafuta kwenye ini.
Apple (Tufaha)
Ina nyuzinyuzi (fiber) zinazosaidia kusafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kupunguza mzigo kwa ini.
Oats (shayiri)
Ina nyuzinyuzi nyingi zinazosaidia kupunguza mafuta mwilini na kusaidia ini kufanya kazi vizuri.
Samaki wenye mafuta mazuri
Kama salmon, dagaa, na sardine, husaidia kupunguza mafuta kwenye ini na kupunguza uvimbe wa ini.
Chai ya kijani (Green tea)
Ina antioxidants nyingi zinazosaidia kupunguza mafuta kwenye ini na kusaidia ini kujisafisha.
✅ Mambo muhimu ya kufanya pia:
Punguza pombe au acha kabisa
Epuka vyakula vya mafuta mengi na sukari nyingi
Kunywa maji ya kutosha
Fanya mazoezi mara kwa mara#FattyLiver#MafutaKwenyeIni#IniLenyeMafuta
8 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Load more