Hii ni Chaneli ya Michezo inayokuabarisha habari zote kwa kina na kwa umuhimu zaidi, hapa utapata kila kitu ukipendacho kusu soka la tanzania na Duniani kwa ujumla.
Subscribe ili uwe wa kwanza kupata habari kubwa zaidi.

#simbasc #yangasc #usajiliwasimba #usajiliwayanga #sokaletu #tff


SOKAMEDIATZ

JESHIIIIII

1 month ago | [YT] | 613

SOKAMEDIATZ

WATA PLAYA NDIO HUYU SASA

1 month ago (edited) | [YT] | 811

SOKAMEDIATZ

WINGA TEREZA

2 months ago | [YT] | 734

SOKAMEDIATZ

KUNA WATU WATAKUNYA TENA UWANJANI AISEE

2 months ago | [YT] | 704

SOKAMEDIATZ

TUKUTANE UWANJANI

2 months ago | [YT] | 690

SOKAMEDIATZ

YANGA BINGWA

2 months ago | [YT] | 756

SOKAMEDIATZ

KIBOKO YA WACHAWI

3 months ago | [YT] | 578

SOKAMEDIATZ

Kwa simuleringi rasmi ya EA Sports FC kuelekea Kombe la Dunia la 2026, timu iliyotabiriwa kuwa bingwa ni Spain. EA Sports ilifanya simuleringi ya mashindano yote kwa kutumia timu 48, vikosi rasmi na ratiba kamili ya mechi za Kombe la Dunia 2026.
Kilichovutia wengi ni kwamba EA Sports ilitabiri kwa usahihi washindi wa Kombe la Dunia la:
Spain (2010)
Germany (2014)
France (2018)
Argentina (2022)
Kwa mujibu wa simuleringi hiyo, Hispania inaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kutwaa taji kutokana na kizazi chake kipya cha wachezaji, akiwemo Lamine Yamal, pamoja na mafanikio yao ya hivi karibuni katika michuano ya Ulaya.
Hata hivyo, huu ni utabiri wa kompyuta tu. Timu kama France, Argentina, Brazil na England bado zinatajwa kuwa miongoni mwa vigogo wanaoweza kubeba kombe.

3 months ago | [YT] | 36

SOKAMEDIATZ

LAMINE YAMAL mchezaji Bora Laliga

3 months ago | [YT] | 194

SOKAMEDIATZ

Ile makala Fupi ya Okello Hii hapa, bonyeza video kuitazama.

4 months ago (edited) | [YT] | 2