BBC News Swahili 

Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com

BBC News Swahili

Kutoka jela mpaka urafiki 'tata' na wanasiasa Afrika. Bofya https://youtu.be/qgWErbK91LM kutazama maisha ya Wicknell

10 hours ago | [YT] | 31

BBC News Swahili

Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe Wicknell Chivayo afariki dunia

10 hours ago | [YT] | 2

BBC News Swahili

Jiunge na chaneli ya WhatsApp ya BBC News Swahili kupokea habari, uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako. πŸ‘‰πŸ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

1 day ago | [YT] | 17

BBC News Swahili

Jiunge na chaneli ya WhatsApp ya BBC News Swahili kupokea habari, uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako. πŸ‘‰πŸ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

3 days ago | [YT] | 29

BBC News Swahili

Utafiti umebaini kuwa tembo wa Afrika hutumia aina mbalimbali za mimea yenye sifa za dawa kujitibu wenyewe na kuwatibu tembo wa familia zao wanapougua.

6 days ago | [YT] | 61

BBC News Swahili

Kutoka kuwa kiongozi wa ngazi ya wilaya hadi Rais wa China, Xi Jinping amekuwa na historia ndefu ya ziara zake nchini Marekani kwa zaidi ya miongo minne.

1 week ago | [YT] | 90

BBC News Swahili

β€œBluetoothing” ni kitendo cha mtu anayatumia dawa za kulevya kutoa damu yake yenye mabaki ya dawa kwa njia ya sindano na kudungwa mtu mwingine ili huyo mtu apate tena athari ya dawa

1 week ago | [YT] | 35

BBC News Swahili

'Wanasema najifanya mkulima kwa sababu ya umbo langu'

1 week ago | [YT] | 11

BBC News Swahili

Kwa nini Taiwan imekwama katikati ya China na Marekani

1 week ago | [YT] | 1

BBC News Swahili

Jiunge na chaneli ya WhatsApp ya BBC News Swahili kupokea habari, uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako. πŸ‘‰πŸ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

1 week ago | [YT] | 13