BBC News Swahili 

Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com


BBC News Swahili

Utafiti umebaini kuwa tembo wa Afrika hutumia aina mbalimbali za mimea yenye sifa za dawa kujitibu wenyewe na kuwatibu tembo wa familia zao wanapougua.

1 hour ago | [YT] | 5

BBC News Swahili

Kutoka kuwa kiongozi wa ngazi ya wilaya hadi Rais wa China, Xi Jinping amekuwa na historia ndefu ya ziara zake nchini Marekani kwa zaidi ya miongo minne.

22 hours ago | [YT] | 30

BBC News Swahili

โ€œBluetoothingโ€ ni kitendo cha mtu anayatumia dawa za kulevya kutoa damu yake yenye mabaki ya dawa kwa njia ya sindano na kudungwa mtu mwingine ili huyo mtu apate tena athari ya dawa

1 day ago | [YT] | 18

BBC News Swahili

'Wanasema najifanya mkulima kwa sababu ya umbo langu'

2 days ago | [YT] | 11

BBC News Swahili

Kwa nini Taiwan imekwama katikati ya China na Marekani

2 days ago | [YT] | 1

BBC News Swahili

Jiunge na chaneli ya WhatsApp ya BBC News Swahili kupokea habari, uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako. ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

2 days ago | [YT] | 14

BBC News Swahili

Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani Afrika, anauza sehemu ya umiliki wa biashara yake kwa wananchi na wawekezaji kupitia soko la hisa la Nigeria.

Je biashara yake ya mafuta inaweza kusaidia Afrika kupata maendeleo, ustawi na uhuru zaidi wa kiuchumi?

3 days ago | [YT] | 160

BBC News Swahili

Ni kweli Gen Z wanashindwa kusoma?

6 days ago | [YT] | 3

BBC News Swahili

Je ulichosomea ndicho unchofanyia kazi sasa?

1 week ago | [YT] | 1

BBC News Swahili

Jiunge na chaneli ya WhatsApp ya BBC News Swahili kupokea habari, uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako. ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

1 week ago | [YT] | 27