Pain Killer is a rising new-generation artist from Tanzania, known for his unique blend of Reggae, Ragga, Dancehall, and related genres. With a deep passion for conscious music, he occasionally explores Rap to express raw emotions and powerful messages

Pain Killer works closely with renowned producer BJ at B'N Records Studio, based in Dar es Salaam,Tanzania. Together, they are crafting a fresh and dynamic sound that resonates with both local and international audiences

Pain Killer ni msanii chipukizi wa kizazi kipya kutoka Tanzania, anayejulikana kwa mchanganyiko wake wa kipekee wa mahadhi ya Reggae, Ragga, Dancehall na mingine inayofanana. Akiwa na mapenzi makubwa kwa muziki wa uelewa na ujumbe, mara kwa mara huimba Rap ili kufikisha hisia kali na ujumbe

Pain Killer anafanya kazi kwa karibu na mtayarishaji maarufu BJ katika studio za B'N Records zilizopo Dar es Salaam,Tanzania. Kwa pamoja, wanatengeneza muziki mpya na wa kisasa unaogusa nyoyo za wasikilizaji wa ndani na nje ya nchi